Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

Saturday, September 24, 2016

Tumia Fursa Hii, Kutengeneza Pesa Na Mafanikio Makubwa.

No comments :
Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) Iliyopo eneo la wangama kona, Njombe, inaunda mashine mbali mbali zenye bei tofauti na kuziuza kwa Fedha Tasilimu (cash) au kwa mkopo kwa kulipa asilimia kati ya 50 hadi 80 na kiasi kilicho baki kukilipa ndani ya miezi 4 hadi 6.
Muda wa uundaji wa mashine ni kati ya siku 3 hadi wiki 2 kutegemeana na aina ya mashine, mashine ndio zitatumika kama dhamana na pia mkopaji atatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watawajibika kulipa ambapo mkopaji anaposhindwa kulipa.
Tunashauri mteja afike ofisini kwetu kwa mazungumzo zaidi au kwa mawakala ambao watakuwa wakitambulika na ofisi. Kwa maelekezo zaidi piga simu 0620 127 211 na zifuatazo ni bei elekezi za mashine na aina zake.
1) Mashine za kusaga na kukoboa nafaka mbali mbali. (Milioni 1.6 hadi 9)
 2) Kubangua mise, (Milioni 1.7 hadi 2.5)
 3) Kukoboa kahawa ya umeme au mafuta ,(Milioni 1.2) na manual Laki 4.5.
 4) Kutotoa vifaranga vya kuku automatic na semi automatic kuanzia mayai 60 hadi 6000.
 5) Kuchanganya chakula cha kuku cha mash na pellet (tambi), (Milioni 1.5 hadi 6)
 6) Kukamua na kusafisha mafuta ya nafaka kama alizeti, karanga nk, (Milioni 5 hadi 20)

Tunachimba visima vya maji kwa urefu zaidi ya mita 150 kwa bei nafuu.
7) Mashine ya kupukuchua mahindi (Laki 9 hadi Milioni 3)
 8) Mashine ya kutengeneza sabuni za miche, maji na unga, (laki 9 hadi 15m)
 9) Mashine za kukaushia mboga na matunda mbali mbali (drier) (Laki 6 hadi milioni 7)
 10) Mashine ya mkaa wa taka taka ngumu za umeme na mafuta ya taa (Mkaa wa kisasa) (Laki 6 hadi Milioni 4)
 11) Mashine za tofari za cement, hydro form, (Laki 3.5 hadi milioni 6),
 12) Mashine ya kukamulia juice za matunda mbali mbali, (laki 8 hadi 7m)
 13) Mizinga ya nyuki ya ubao wa juu na commercial, (Elfu 45000 na110,000)
 14) Mashine ya kupasua mbao, (Milioni 2.3 hadi 3.8)
 15) Mashine ya kuranda mbao za size tofauti ( Milioni 1.6 hadi 7m)
 16) Egg incubator ya vifaranga vya samaki, (Laki 5 hadi 9)
 17) Mashine ya kuchomelea vyuma, (Laki 3. 7 hadi laki 6)
 18) Mashine ya kucharge betri za gari, (Laki 3.7 hadi laki 5)
 19) Ujenzi wa green house, ( kwa kila mita ya mraba 23000 ikiwa
 imekamilika kila kitu.)
 20) Ujenzi wa mabwawa ya samaki ya pond line yanayo hamishika ( kuanzia laki 2.5)
 21) Mashine za kuoaka mikate (Mixer na oven), (Laki 9 hadi milioni 8)
22) Mashine za kukoboa Mpunga ( Milioni 2.3 hadi 6m)
Pia tunachimba visima vya maji eneo lolote kwa kila mita 25000/=, nakuanzia kwezi wa tisa tutakuwa tunauza za vifaranga vya kuku aina mbali mbali kwa Tsh: 1200 hadi 1500 na pia tunauza miti ya mbao namashamba ya kupanda.


No comments :

Post a Comment