Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

Tuesday, April 25, 2017

JIAJIRI SASA; TUNACHIMBA VISIMA VYA MAJI NA KUUZA MASHINE ZOTE ZA KIJASIRIAMALI.

No comments :
Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) Iliyopo Njombe, inapenda kukupa habari njema kwamba SASA TUNACHIMBA  VISIMA VYA MAJI VIREFU NA VIFUPI KWA ENEO LOLOTE KWA KILA MITA 50,000/= Huduma hii ipo maalumu kwa ajili yako na tunakufikia popote ulipo Tanzania. 
Pia tunaunda mashine mbali mbali za kiajasiriamali zenye bei tofauti na kuziuza kwa Fedha Tasilimu (cash) au kwa mkopo kwa kulipa asilimia kati ya 50 hadi 80 na kiasi kilicho baki kukilipa ndani ya miezi 4 hadi 6, Muda wa uundaji wa mashine ni kati ya siku 3 hadi wiki 2 kutegemeana na aina ya mashine.
Mashine ndio zitatumika kama dhamana na pia mkopaji atatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watawajibika kulipa ambapo mkopaji anaposhindwa kulipa, tunashauri mteja afike ofisini kwetu kwa mazungumzo zaidi au kwa mawakala ambao watakuwa wakitambulika na ofisi.
Kwa maelekezo zaidi piga simu 0710 041 352 na zifuatazo ni bei zetu elekezi za mashine na aina zake.

1) Mashine za kusaga na kukoboa nafaka mbali mbali.
 (Milioni 2 hadi 9)
2) Kubangua mise, (Milioni 1.7 hadi 2.5)
3) Kukoboa kahawa ya umeme au mafuta ,(Milioni 1.2) na manual Laki 4.5
4) Kutotoa vifaranga vya kuku automatic na semi automatic kuanzia mayai 60 hadi 6000
5) Kuchanganya chakula cha kuku cha mash na pellet (tambi), (Milioni 3 hadi 6)
6) Kukamua na kusafisha mafuta ya nafaka kama alizeti, karanga nk, (Milioni 12 hadi 20)
7) Mashine ya kupukuchua mahindi (Laki 9 hadi Milioni 3)
8) Mashine ya kutengeneza sabuni za miche, maji na unga,( Milioni 2 hadi 15)
9) Mashine za kukaushia mboga na matunda mbali mbali (drier) (Laki 9.5 hadi milioni 7)
10) Mashine ya mkaa wa taka taka ngumu za umeme na mafuta ya taa (Mkaa wa kisasa) (Laki 3 hadi Milioni 4)
11) Mashine za tofari za cement, hydro form, (Laki 3.5 hadi milioni 6),
12) Mashine ya kukamulia juice za matunda mbali mbali, (Milioni 1.4 hadi 3)
13) Mizinga ya nyuki ya ubao wa juu na commercial, (Elfu 45000 na 110,000)
14) Mashine ya kupasua mbao, (Milioni 2.3 hadi 3)
15) Mashine ya kuranda mbao za size tofauti ( Milioni 1.6 hadi 1.
16) Egg incubator ya vifaranga vya samaki, (Laki 5 hadi 9)
17) Mashine ya kuchomelea vyuma, (Laki 3. 7 hadi laki 6)
18) Mashine ya kucharge betri za gari, (Laki 3.7 hadi laki 5)
19) Ujenzi wa green house, ( kwa kila mita ya mraba 23000 ikiwa imekamilika kila kitu.)
20) Ujenzi wa mabwawa ya samaki ya pond line yanayo hamishika ( kuanzia laki 2.5)
21) Mashine za kuoaka mikate (Mixer na oven), (Laki 9 hadi milioni 8)
22) Mashine za kukoboa Mpunga ( Milioni 2.3)
23) Mashine za kutengeneza chaki ( Laki 6)
MTEJA KWETU NI MFALME, KARIBU SANA TUKUHUDUMIE

No comments :

Post a Comment