Nov 21, 2022
Umaskini Wako Unasababishwa Na Kitu Hiki Tu,...
Watu
sio maskini eti kwa sababu hawana pesa, watu ni maskini ni kwa sababu ya mawazo
yao. Unaweza ukawa unapato zuri sana lakini ukabaki kuwa maskini katika maisha.
Kitakachokufanya uwe maskini ni matumizi ya mawazo yako katika kukufanikisha.
Wapo
watu wengi sana ambao wana kipato kikubwa lakini wanashindwa kufikia utajiri.
Hapo hakuna uchawi wowote ni matokeo ya matumizi ya mawazo. Wataalamu wa mambo
ya mafanikio wanatuambia hivi, asilimia 90 ya matatizo yote ya pesa yana
sababishwa na matumizi ya mawazo au akili zako.
Hivyo,
ni muhimu sana kila wakati kuangalia, je mawazo yako yana uwezo wa kukufikisha
kule unakotaka kufika kimafanikio? Ukiona una mashaka hata kidogo, ongeza juhudi
ya kujifunza na kutamani kujua kila kitu kinachohusiana na pesa na mafanikio
maishani mwako.
Wewe
ni tajiri mkubwa sana, ikiwa utajiamini na kukubali kutumia nguvu kubwa ya
mawazo uliyo ndani mwako kukufanikisha. Miaka kadhaa mbele naamini utakuja kunitafuta
na kuniambia aisee ni kweli ulichosema Imani. Yote hayo yanawezekana kwako,
hakuna uchawi zaidi kuchukua hatua na kujituma.
Pia rafiki, kama unapenda kujifunza zaidi kuhusu mafanikio, karibu kwenye kundi la WHATS APP LA MAFANIKIO, kujiunga tuma neno THE UNIVERSITY OF WINNER’S kwenda 0687449428 hapo utapata utaratibu mzima wa kujiunga.
Pia rafiki, kama unapenda kujifunza zaidi kuhusu mafanikio, karibu kwenye kundi la WHATS APP LA MAFANIKIO, kujiunga tuma neno THE UNIVERSITY OF WINNER’S kwenda 0687449428 hapo utapata utaratibu mzima wa kujiunga.
Kumbuka, ufalme hauji kwa maneno bali unakuja kwa vitendo,...chukua hatua.
Nikutakie kila la kheri,
DAIMA TUPO PAMOJA MPAKA NDOTO ZAKO ZITUMIE,
Ni wako rafiki katika mafanikio,
IMANI NGWANGWALU,
Mawasiliano, Whats app 0687449428,
Email; dirayamafanikio@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.