May 10, 2016
Mbinu Za Kupata Wafadhili Kutoka Nje Ya Nchi, Katika Kuitekeleza Fursa Yako.
Wiki moja iliyopita
niliacha ahadi yangu ya kuwa makala ijayo nitakueleza namna ya kupata
wafadhili katika fursa yako. Na nilipokea barua pepe nyingi na
ujumbe mfupi wa maandishi kwamba wanasubiri kwa hamu. Basi bila shaka siku
uliyoingojea kwa hamu ndiyo hii. Kaa mkao wa kulisha ubongo kisha twende sawa
ili niweze kukata kiu yako.
Enzi za utoto ndiko kulikonifanya niweze kujua ukweli juu ya jambo hili. Unajua
ni kwanini? Wakati tupo wadogo pale kijini kwetu palikuwa na kanisa ambako
watoto wengi tulikuwa tunapenda kwenda zaidi hasa pale walipokuwa wanakuja
wazungu. Wengi tulikuwa tunapenda kwenda katika kipindi hicho wakija wageni hao
kwa sababu walikuwa wanakuja na vitu vizuri kwa ajili yetu na kuweza kutugawia
watoto wote ambao tulikuwepo siku hiyo. Walikuwa wanatugawia vitu kama saa,
nguo, baiskeli na vitu vingine vingi ambavyo wakati huo vilikuwa vinatuvutia
sana.
Nafikiri kwa kisa hicho kama utakuwa miongoni wa waliokuwa wanapata zawadi hizo nitakuwa nimekukumbusha mbali sana. Lakini kwa kipindi hicho hakuna aliyejali kwamba wale wazungu wamepajuaje kanisani petu pale kijijini zaidi ya kufurahia zawadi zao! na wakati hawajawai kufika hata siku moja katika bara letu hili! Kadri nilivyozidi kukua nikazidi kufanya uchunguzi ambao ulikata kiu yangu, naamini pia utakata kiu yako. Kumbe ukweli ni kwamba kuna njia ambazo huwa zinatumika mpaka kuweza kuwapata wafadhili ambao wapo nje ya nchi na wakaweza kukusaidia katika kutekeleza jambo lako.
Jambo ambalo huzingatiwa zaidi katika kupata wafadhili , wao huangalia mtu ambaye amekwisha kuanza kulitekeleza jambo lake kwa kiwango fulani. Kama nilivyokueleza mfano wa kanisa hapo juu ili wawaze kukufadhili ni lazima uwe umeshalianzisha kanisa hilo. Usiwatafute wafadhili kwa kupiga ‘stori’ tu bila kuwa na kitu maana kuna usemi unasema mwenye nacho huongozewa. Je, unataka kufahamu ni njia zipi za kutumia ili kuwapata wafadhili?
Zifuatazo ndizo njia za kupata wafadhili katika mradi wako;
1. Intaneti/wavuti (website)
Hii ndio njia ya kwanza ambayo kiukweli itakufanya ambayo hata wewe ukiweza kuitumia leo utakwenda kunufaika zaidi. Ikumbukwe ya kwamba kuitumia intaneti vizuri ni pesa mkononi ambayo itakufanya utengeneze pesa zaidi. Namna ya kutumia njia hii ni kwamba, ingia ‘google’ ile sehemu ya kuandika jambo ambalo unalihitaji, kisha andika jambo lako. Kwa mfano unacho kituo cha kulelea watoto yatima na unataka kupata hao wafadhiri.

Anza kwanza mradi wako kabla ya kutafuta wafadhili. |
Unaweza kuandika hivi (Organization supporting orphan children) baada ya hapo, ‘google’ itafunguaka kurasa mbalimbali
zenye matokea zaidi hata ya elfu tano. Tuliza akili yako na uanze kufungua moja
baada ya nyingine. Ukifungua nenda sehemu ya ‘home ya page’ hiyo kisha tafuta sehemu ya ‘contact page’, baada ya kuipata sehemu hiyo zichukue namba zao za
mawasiliano na uanze kuwasiliana nao watu hao. Huenda pia wakawa hawajaweka
namba ya zao za simu au e-mail zao ila kukawa na sehemu ya wewe kujaza taarifa
zao zijaze kisha utaona ni jinsi gani mtakavyoweza kuwasiliana nao.
2. Kujitolea na kujipendekeza.
Baada ya kutembelea hizo kurasa zao anza sasa na kujitolea na kujipendekeza kwa kutuma mawazo yako chanya, tuma picha mbalimbali za huku afrika ikiwemo vivutio tulivyonavyo, tuma shughuli unazofanya kama ni kilimo, biashara na vitu vingine baada ya hapo anza kutuma picha za jambo lako ambalo unalitaka ufadhili kama ni kituo cha kulelea watoto yatima tuma majengo yake kama tayari kimeanza kutoa huduma tuma picha mbalimbali.
Kufanya hivi kutawafanya wafadhili hao waweze kupenda kuja kukutembelea na kuona hivyo vitu vya utalii vilivyomo katika nchi yako. Hakikisha ya kwamba huwaombi fedha wafadhili hao mwanzoni tu mwa mawasiliano yenu maana watakuona wewe ni tapeli.
3. Jifunze kwa watu ambao tayari wana wafadhili.
Kwa kuwa kuna watu tayari wamekwisha wapata wafadhili ni muda wako muafaka wa kuwauliza waliwapata vipi wafadhili hao? Kufanya hivyo kutakufanya uweze kuwapa wafadhili katika jambo lako. Pia kama utakuwa hajaweza kuwapata wafadhili wa kutoka ya nje unaweza kujua namna ya kuwapata wafadhili wa ndani ya nchi ambao nao wana mchango mkubwa katika kukufanikisha jambo lako kwa muda sahihi. Kuwa ni mtu wa kutaka kujifunza zaidi kwa kufuatalia mwenyewe kwa ndani kuliko kusikia tu.
Asante sana kwa kusoma makala haya na pia endelea kujifunza kupitia DIRA YA MAFANIKIO kila wakati.
DAIMA TUPO PAMOJA MPAKA MAISHA YAKO YAIMARIKE,
Imeandikwa na Afisa mipango Benson Chonya.
E-mail; bensonchonya23@ gmail.com

Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Nimependa elimu nzuri kaka
ReplyDeleteVizuri sana
ReplyDeletenaomba mtu atakae nisomesha form one hadi chuo namwahidi nitasoma kwa bidii
ReplyDeleteNtakusimesha ntafute
Deletenaomba unitafute kupitia hi imail;jossemuyenjwa125@gmail.com
DeleteMungu akubsriki kwa maelekezo mazuri
DeleteNatafuta ufadhili wa kunisomesha kozi ya Utangazaji 0714954609 sitamwangusha
ReplyDeleteNipo Arusha na ni kijana mwaminifu nimekwama sababu ya ada.
ReplyDeleteEnter your comment...naomba mfadhili atakaye nisaidia ada yakusoma form five na six sita mwangusha kabisa
ReplyDeleteI liked it
ReplyDeleteMsaada wa kusomeshwa chuo diploma kozi za sayansi namba 0679036768
ReplyDeleteMimi Ni mtaalam wa saikolojia na mwalim wa watoto nataman kufungua shule ya watoto wadogo ushaur tafadhali pa kuanzia
ReplyDeleteNchek 0629404877
DeleteReally true
ReplyDeleteNaomben msaada wa kunifadhili kuninunulia kinanda kikubwa aina ya YAMAHA ELECTONE HS-6 cha kupiga Hadi mguuni maana nmeamua kujiajiri nafundisha baadhi ya watu namna ya kupga kinanda lakn sio changu Ni cha kanisa. Mm Ni yatima ila mungu kanipa karama hii niendeshe maisha yangu.
ReplyDeleteWhatsApp number
+255762849143
kupata eliNimefurelimuphii mimi nahitaji kupatakdh mfadhiili nijiendelezekgazi kiengazi ya chetu au diploma cont.0752538837
ReplyDeleteWhatsup no. 0752538837
Sawa
ReplyDeleteSisi ni wakina mama wenye ulemavu tunaomba kusaidiwa vitendea kazi tunahusika na ushonaji(Supporting local disability women)
ReplyDeleteEmail:Wakinamamatanzania@gmail.com
Facebook:Wakinamama Tanzania
Contact:0623106175
Naombeni msaada wa school fees ya no watoto nimekwama kuwaendeleza naombeni kwa mwenye Moyo wa kunisaidia jamani napatikana kwa no +255684800441/0679875776
ReplyDeleteNatafuta wafadhili Wa green house
ReplyDeleteNatafuta wafadhili wa kunifadhiria ktk kituo changu cha malezi ya watoto wadogo,atupe vifaa vya michezo,lishe,na kuniboreshea kituo zaidi
ReplyDeleteNashukuru kwa maelezo mazuri Mimi naomba anwani/ email za wafadhiri sielewi namna ya kuwapata pamoja na maelezo naomba anwani zao
ReplyDeleteNtapataje ufadhili ya kusoma shahada ya urubani
ReplyDeleteMimi nikijana ambae niko na elimu ya mifugo na nimfugaji pia naomba mfadhiri ambae twaweza weka mradi uhusuo ufugaji ili tuweze tengeneza pesa. napatikana kwa namba 0674074170
ReplyDeleteMimi ni mchungaji. Naomba kwa yeyote anayewajua wafadhili wa kujenga makanisa na kununua vyombo vya muziki vya kanisa anisaidie email zao na namba za simu. Ahsanteeni sana.
ReplyDeleteMimi ni mchungaji. Naomba kwa yeyote anayewajua wafadhili wa kujenga makanisa na kununua vyombo vya muziki vya kanisa anisaidie email zao na namba za simu. Ahsanteeni sana.
ReplyDeleteMimi ni mchungaji. Naomba kwa yeyote anayewajua wafadhili wa kujenga makanisa na kununua vyombo vya muziki vya kanisa anisaidie email zao na namba za simu. Ahsanteeni sana. Namba zangu za simu 0714-257594/ 0784-774134.
ReplyDeleteNina ndoto ya kufungua chuo cha ufundi veta ila tatizo ni uchumi msaada tafadhal 0766499018 au michaelmzwisa@gmail.com
ReplyDeleteMimi ni kijana ninayetamani kutimiza ndoto yangu ya kusomea Udaktari wa binadamu ngazi ya Shahada.Naomba msaada wa ufadhili masomo yangu/au mawasiliano ya wadau nimechaguliwa kujiunga chuo kikuu.
ReplyDelete0759320490-Whatsapp na email:gilbertpius08@gmail.com
Mimi ni mchungaji peter mwachula.nipo mafinga Mkoani IRINGA naomba mfadhiri wa kununua vyombo na kujenga kanisa kuwa namba zangu.0746110081 /0716006021.natumia email ya mtoto wangu.danielmwachula@gmail.com
DeleteNaitwa Sesilia Anthony Myonga wa Morogoro Tanzania ni mtunzi wa vitabu vya tamthilia,nina vitabu sita 6 ambavyo ni 1.KIUMBEJINI,2.KIPAJI CHANGU,3.SIWEZIKUAMINI AHADI YAKO,4.NANI ADUI YANGU WA PILI IKIWA WA KWANZA NI MIMI MWENYEWE,5.HUU NI MTIHANI WANGU NA CHA 6.MIMI NI NANI KATIKA JAMII?. Ambacho kinazungumzia unyanyasaji wa kijinsia kwa upande wa wanawake na ubaguzi wa rangi kwa watu wenye ualbino, ambacho kilihaririwa na chuo kikuu Sua Morogoro Tanzania.Naomba msaada wa kupata wafadhili wa kuniendeza kipaji changu kwa kusaidiwa kutoa kitabu namba 6.MIMI NI NANI KATIKA JAMII?,pamoja na kupata wanunuzi au masoko.+255719832483
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteNaitwa diana naomba msaada wa kusomeshwa form five na six nitafanya vizur sana. hata mimi nije kuwasaidia wengine baadae namba yangu 0786465964
ReplyDeleteNina ndoto za kuwa famasia lakin uwezo wa kifedha umekuwa mgumu kuendelea basis naomba ambaye yuko tayar kunisaidia anitafute kwa naomba 0685526946 au jacksonmussa12@gmail.com Nina elimu ya kidato cha sita na Nina matokeo mazur sana
ReplyDeleteNinandoto za kuwa shelia tafazalii nakuomba 0788431935
ReplyDeleteNinandoto za kuwa shelia tafazalii nakuomba 0788431935
ReplyDeleteMimi Nina kituo cha taasisi ya elimu ya watu wazima kwa wale wote waliokomea LA saba au waliokomea kidato cha 1,2 au 3,ila wanaitaji kuendelea na elimu ya ya sec ba hatimaye chuo,Nina vijana 25 wanaitaji watu wa kuwasomesha kufikia malengo yao,tupo kisesa kwanza wilaya ya magu,kituo kimesajiliwa na taasisi ya elimu watu wazima,kwa yeyote atakaye pendezwa kusaidia vijana hao kuwasomesha,mwenyezi Mungu mwingi wa rehema atambariki sana,mawasiliano 0769370814 au 0620322267,mbarikiwe
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteAsante Sana kwa makala hii mkuu mungu akubarik,, Maana Sisi Tuna NGO yetu ambayo tunaitaji mfadhili
ReplyDeleteNahitaji mfadhili nataka kufungua kiwanda
ReplyDeleteMimi ni kijana ambaye nina fani ya udeleva nina resen na chet cha veta nina uzoef wa udeleva natafuta kazi kwa mwenye uwezo wa kuniajir anisaidie napatikana kwa namba 0756867510
ReplyDeleteHabar kwa jina naitwa George Sanga mim tayari nishafungua kampuni ya uuzaji na usambazaji wa chakula kwa sasa naitaji pesa kwa ajili ya kuendesha kampuni yang ili iwe na mafanikio makubwa
ReplyDeleteHio ni namba yang 0765769477
ReplyDeleteasante kwa maelezo mazuri naomba kwa wanaosoma comment na wanauwezo wa kusupport please niasidie nimefaulu vizuri kidato cha nne na sita ila nimekosa ada kujiunga na chuo mwaka wa pili sasa pleasa kwa atakaeguswa number yangu 0621607147 email judyj8189@gmail.com
ReplyDeleteNaitwa YOHANA mamasita nina kipaji cha kuimba ila Pesa sina nimeshatoa nyimbo mbili zipo YouTube ila nimerekodia studio za chini kwa sababu ya uwezo nikipata mfadhili hakika nitafanya mambo makubwa sana. 0739506150 na 0744763101 au yohanamamasita6 @gmail.com
ReplyDeleteTunashukuru sana. Tunaomba uwe unatoa elimu kama hizi mara kwa mara ili tujifunze zaidi. Kwa upande wangu nimejifunza kitu na nitawasiliana nawe ili nijifunze mengi zaidi. Asante sana.
ReplyDeleteMy name's justine ammany I need a sponser I have great talent contact 255 0623241408
ReplyDeleteNaitwa LUCAS CHAMBIKA ni mwanafunzi wa chuo pia na mjasiliamali najihusisha na kilimo cha mpunga kwa sasa nina hekari tatu lakin lengo langu n kuwa na hekali hamsini ili niweze kuajiri na vijana wenzangu pamoja na kufungua taasisi mbalimbali kama shule..naomba ushauri wa jinsi gani naweza kupata masoko na pia kufikia malengo yangu .
ReplyDelete0753210031
My name is LUCAS CHAMBIKA I am also a college student and an entrepreneur I am currently involved in rice farming but I have three hectares but my goal is to have fifty temples so that I can employ my fellow youths as well as open various institutions like schools..I am asking for advice on how I can get marketing and also achieving my goals.
ReplyDelete0753210031
lucaschambika@gmail.com
طالب جامعي ورائد أعمال أعمل حاليًا في زراعة الأرز ولكن لدي ثلاثة هكتارات ولكن هدفي هو الحصول على خمسين معبدًا حتى أتمكن من توظيف زملائي الشباب وكذلك فتح مؤسسات مختلفة مثل المدارس .. أنا أطلب النصيحة حول كيفية الحصول على التسويق وكذلك تحقيق أهدافي.
ReplyDelete0753210031
lucaschambika@gmail.com
Samahani mim mkulima kwa Mara ya kwanza lakini nimepungukiwa fedha kidogo ili nimalizie mazao yangu napatikana katika namba hii 0655720401
ReplyDeleteNatafuta mfadhili wa kuniwezesha kuendeleza shughuli zangu za kilimo biashara, namba zangu ni 0623706254 nipo MBEYA
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteMimi naitwa khalfan bahati naomba kufadhiliwa ili nitimize malengo,Nina kituo chs tuition lakini lengo langu ni kuwa na shule,Sina uwezo wa kununua eneo kujenga na pia kusajili shule,atayeguswa namba zangu 0769035519 au 0717202292
ReplyDeleteKama unaitaji mwalimu wa geography na English nipo Moshi boma ngo'mbe 0692996739
DeleteMimi naitwa namanya Stanley Bashagi nimemaliza elimu ya chuo kwa shaada ya walimu wa secondary masomo ya geography and English language anae itaji mwalimu day care na kadharika nipo tayari, 0692996739
ReplyDeleteHello, habar ya kazi naitwa Samira nyange nipo dodoma , Ninatamani kuanzisha kituo Cha watoto walemavu ,, Sina pa kuanzia,, Yani eneo pamoja na vifaa,, watoto walemavu wamekua wakitengwa saana mashuleni hata kwenye jamii naongea haya kwa uzoefu mkubwa coz Nina mtoto wangu mwenye shida hii naelewa chàngàmoto,,,, I wish nipate mfadhili nifungue shule yao
ReplyDeleteHellow naitwa Helena b bundala natafuta wafadhil.nimeandika andika mrad inayohusu ukeketaji kwa wanawakr nipo Mara naomba mnipe mwongizo nitume andiko hiil kwa wafafhil namba yangu mi 0766535512
ReplyDeleteHello naitwa Eva mdoe Mimi ninaeneo langu napenda kufungua shule ya nursery naomba msaada kwa wafadhiri wa kujegewa shule mi 0692321044
ReplyDeleteHello
ReplyDeleteNaitwa swabrudin Nuru nipo
Mimi ni fundi mziefu wa computer ila sikuwahi kupita shule lakini nina uzoefu toka mwaka 2010 ila nakutana na changamoto katika shughuli yangu kwa sababu Sina cheti cha shule yoyote lakini najiweza ktk kazi naomba msaada nifanye nini ili niweze kupata kazi ktk makampuni na taasisi mbalimbali?? Naombeni msaada
Namba yangu 0684279099 Ahsante
So good advice
ReplyDeleteNami yule ambaye yupo tayari kuwasaidia watoto wenye ulemavu tuwasiliane Mimi ninaorodha ya watoto zaidi ya 15 katika tarafa yangu lakini nikiunganisha Na tarafa jirani wanafika zaidi ya 40.
My
Contact
0716461086
Email. evaristhm20@gmail.com
Nipo Tanga Tanzania
Ndugu zangu nipo chuo cha afya kairuki nipo mwaka wa pili nasomea nursing hila wazazi wangu hawana uwezo mama mlezi amekuwa akiniambia hana hela yaan nadaiwa ada mpaka sasa ya nusu mwaka sina hela ya matumizi naomba anayeweza kunisaidia kunilipia ada plse anisaidie naomba
ReplyDeleteNamba yangu ya simu ni 0718464348
ReplyDeleteNaitwa James Andrew John, Niko mwanza, naomba ufadhili wa chuo cha veta udereva
ReplyDeleteNaitwa James Andrew John, Niko mwanza, naomba ufadhili wa chuo cha veta ud
ReplyDeleteNaitwa James Andrew John, Niko mwanza, naomba ufadhili wa chuo cha veta ud
ReplyDeleteNaitwa James Andrew John, Niko mwanza, naomba ufadhili wa chuo cha veta udereva veta, 0752025034,suchmimi@gmail.com
ReplyDelete