DIRA YA MAFANIKIO

Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

KUHUSU MTANDAO HUU

No comments :
Ø DIRA YA MAFANIKIO ni mtandao unaojihusisha na kuhamasisha na kutoa elimu inayohusiana na mafanikio na jinsi ambavyo unavyoweza kutumia fursa na kukupa mafanikio makubwa unayoyataka.
Ø Kupita mtandao huu utajifunza namna unavyoweza kutumia uwezo mkubwa ulionao, pia utajifunza kujua ni vitu gani vinavyofanya mtu kuwa mwenye mafanikio na utaweza kuelewa nini na wapi uwekeze kitu gani ili kikuletee mafanikio katika maisha yako.

Ø Yote haya utajifunza kupitia habari za kuhamasisha,  makala,  mahojiano,  kanda za audio/video na pia kujifunza kutoka kwa watu waliofanikiwa kutoka sehemu mbalimbali duniani.

No comments :

Post a Comment