Oct 22, 2017
TANGAZO MAALUM; Mashine Za Kutotoleshea Mayai(Incubators) Zinazotumia Solar power au Betri, Zinapatikana Hapa.
Mashine itumiayo betri/solar power kwa ajili ya kutotoleshea mayai. |
DM POULTRY FARM PROJECT kwa sasa mbali na mashine tulizonazo za kutotoleshea vifaranga,
kwa sasa tunauza pia mashine za kutotoleshea mayai (incubator) zinazotumia SOLAR POWER AU BETRI YA GARI.
Mashine zetu hizi zina
ubora wa kiwango cha hali ya juu na zinaweza kutumia umeme, solar power au
betri ya gari. Kama umeamua kutumia umeme ni uamuzi wako ila umeme ukikatika
unatumia betri yake maalum.
Vile vile mashine zetu
hizi mpya ni 'full automatic,' yaani
zinafanya kazi kwa kujitegemea. Kwa maana hiyo zinafanya kazi katika mazingira
yoyote yale iwe kijijini ambako hakuna umeme au mjini, kote ni sawa.
Karibu sana ujionee mashine zenye ubora na zenye
viwango tofauti na ukubwa tofauti kutegemea na matumizi yako. Mashine hizi tunazo za mayai 45, 90, 180, 240, 300 na 500.
Huhitaji kulalamika kwamba sina
umeme, jibu la changamoto yako sasa limepatikana ikiwa utanunua mashine zetu.
Kwa maelezo zaidi au mawasiliano kuhusu oda yako, piga
simu kwa namba 0767 04 80 35 na wote mnakaribishwa.Mashine ikiwa ofisini kwetu tayari kwa kuuzwa. |
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Naomba kufahamu bei na neza pata vipi
ReplyDeleteSamahani nilikuwa naomba kufahamu bei zake
ReplyDeleteYa mayai 90 au 120 mnauzaje
ReplyDeleteBei zake
ReplyDeleteBei ya mshineyenye wezo wa kutotolesha mayai 45 ni ipi
ReplyDelete