Dec 20, 2023
Epuka Sana Kupoteza Muda Wako Wa Mafanikio Kwa Sababu Ya Kitu Hiki.
Na Melisa Kawa, Dar es salaam, Tanzania.Kabla hujaanza siku yako mpya, kuna namna ambavyo unakuwa unaipangilia siku yako jinsi itakavyokuwa. Kuna mipango ambayo unakuwa unajua kabisa kwamba utaifanya muda huu au ule, unachokuwa ukifanya ni kwenda na ratiba yako tu ya muda.
Sasa...
Read moreNov 23, 2022
Ushauri Kwa Kijana Aliye Mtaani, Hana Ajira, Haoni Cha Kufanya.
Kuna watu hawajui cha kufanya, yaani ni watu ambao hawajui wafanye nini ili walau waingize kipato. Kwa bahati mbaya watu hawa huwa ni wahitimu wa chuo kikuu na wengine ni watu wa kawaida. Hebu fikiria, inakuwaje kwa mhitimu wa chuo kikuu anakuwa hajui cha kufanya? Lakini hali hiyo...
Read moreNov 22, 2022
WAZO LA KUJIAJIRI: Biashara Ya Vikombe Vya Chai Vyenye kubadili Rangi Vikiwekwa Chai Au Maji Ya Moto.
Naam,
wala usishangae najua tumezoea kunywa chai kwa kutumia vikombe hivi vya kawaida
ambavyo havina kitu cha kushangaza pindi utuamiapo. Sasa katika wazo letu la
kujiajiri tunakuleta wazo jipya ambalo kwa baadhi ya watu huenda likawa ni geni
kabisa. Wazo hili si jingine bali ni vikombe...
Read moreNov 21, 2022
Umaskini Wako Unasababishwa Na Kitu Hiki Tu,...
Watu
sio maskini eti kwa sababu hawana pesa, watu ni maskini ni kwa sababu ya mawazo
yao. Unaweza ukawa unapato zuri sana lakini ukabaki kuwa maskini katika maisha.
Kitakachokufanya uwe maskini ni matumizi ya mawazo yako katika kukufanikisha.
Wapo
watu wengi sana ambao...
Read moreNov 20, 2022
Hivi Ndivyo Unavyoweza Kuweka Jitihada Usikose Pesa.
Kukosa pesa ni kilema kikubwa sana katika huu ulimwengu tuliopo. Ukiwa huna pesa changamoto kwako ni nyingi na unakuwa upo kwenye ukilema mkubwa usioujua.Maskini wa kipato kidogo hata akiwa na mawazo mazuri bado hatapewa kipaumbele katika jamii yake kama vile pumba za tajiri zinavyopewa...
Read moreNov 19, 2022
Mambo Ambayo Mungu Hawezi Kufanya..
Ni muhimu kujua yapo mambo ambayo Mungu anaweza kufanya kwa ajili yako na yapo baadhi ya mambo ambayo Mungu hawezi kufanya. Hebu, tuangalie mambo ambayo Mungu hawezi kufanya.1. Mungu hawezi kudanganya.2. Mungu hawezi kubariki uongo.3. Mungu hawezi kubadilika.4. Mungu hawezi kuwa mdogo...
Read moreNov 18, 2022
Hawa Ndio Marafiki Wa Kuwa Nao.
Ni muhimu kuzungukwa na marafiki wazuri, ambao watatupa imani na kujiamini hata kwenye nyakati ngumu. Ukiwa na marafiki wa aina hiyo ni rahisi kuwa mshindi kimafanikio wakati wote.Tatizo la watu wengi wana marafiki ambao hawana msaada. Ukitaka kujua hilo ngoja itokee changamoto, ndio...
Read moreNov 17, 2022
Hivi Ndivyo Njia Ya Mafanikio Ilivyo...
Njia ya mafanikio ni ndefu. Hakuna njia ya mafanikio iliyo fupi. Njia ya mafanikio ni ndefu kwa sababu, katika urefu huo huo, ndimo kuna kujifunza kwingi.Ikiwa unatafuta njia ya mkato, basi wewe unatafuta kuwa na msongo wa mawazo na kijichanganya zaidi. Njia za mkato hazina kujifunza...
Read moreNov 16, 2022
Hizi Ndizo Faida Za Msamaha.
Ipo haja ya wewe kujifunza msamaha hata kama kuna waliokukosea kwa kiasi kikubwa sana.Ipo faida ya kusamehe. Msamaha unaweza kusababisha: 1. Mahusiano yenye afya.2. Kuboresha afya ya akili. 3. Kupunguza uadui. 4. Kutengeneza mfumo wa kinga wenye nguvu zaidi. 5. Uboreshaji...
Read moreNov 15, 2022
Usitishwe Na Watu Wa Aina Hii...
Katika maisha yako unatakiwa usitishwe na watu wa aina mbili, wakosoaji na watu wasio na shukrani. Hawa watu inatakiwa wasikutishe kwa lolote lile, maana ni watu ambao wapo na hawawezi kuisha. Wewe jiruhusu kufanya mambo yako kama kuna ambao watakukosoa acha wakukosoe kwa jinsi...
Read more
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)