Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

Friday, May 5, 2017

TUNAUZA VIFARANGA WA KUKU KIENYEJI WALIOBORESHWA KWA BEI NZURI NA YA FAIDA KWAKO.

No comments :


Huna haja ya kuendelea kulalamika kwamba maisha ni magumu tena. Umefika wakati ambao sasa unaweza ukaongeza kipato chako kwa kuanza na ufugaji wa kuku.
Kuza pato lako kwa kufuga kuku bora watakaokupa matokeo ya muda mfupi na faida kubwa. Yote hayo yatawezekana kama utawaona DM POULTRY FARM PROJECT ambao ni wauzaji wa VIFARANGA  BORA kwa bei nafuu.
Hiyo haitoshi Dm poultry farm project wanauza incubators za kila aina na pia WANATOA HUDUMA YA KUTOTOLESHA VIFARANGA kwa yoyote ambaye ana mayai yako tayari.
KUMBUKA, KWA MAHITAJI YA VIFARANGA, INCUBATORS NA KUTOTOLESHA VIFARANGA TAFADHARI WAONE DM POULTRY FARM PROJECT AMBAO WAPO JIJINI TANGA, UTAPATIWA HUDUMA BORA NA KWA BEI NAFUU POPOTE ULIPO NCHINI.
WASILIANA NAO KWA 0767048035/0686141097.

No comments :

Post a Comment