google-site-verification: googleabbfd1327a3af7a3.html

Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

Kujifunza zaidi juu ya maisha na mafanikio, nakualika kwenye kundi la whats app kujifunza kwa kina. Tututumie ujumbe kwa njia ya whats app kwenda 0687449428 kupata utaratibu wa kujiunga.

Sep 22, 2021

Ujasiri Unaohitajika Katika Kusaka Mafanikio Yako.

No comments :

 

Tunaaminishwa ya kwamba mnyama mwenye ngozi ngumu kuliko wote huenda ikawa ni mamba, japo hakuna uthibitisho kamili juu ya hilo. Uwezo wa mnyama mwenye ngozi ngumu ni mnyama mwenye uwezo wa kuvumilia mengi ikiwemo uwepo wa jua kali wakati wa kingazi.

Kama ilivyo kwa mnyama mamba basi hata sisi tunaambiwa ili tuwe na ngozi ngumu katika kufanya mambo mbalimbali, hii ikiwa na maana ya kwamba tunapaswa kuvulimia kila changamoto ambazo zitakuwa zinajitokeza kwenye kukamilisha mambo mbalimbali.

Ni muhimu kuwa na ngozi ngumu kwa sababu wengi wetu tumekuwa ni watu wa kukata tamaa sana, hasa pale zinapojitokeza changamoto mbalimbali kwenye mambo tuyafanyayo.

Ila ukweli ambao napaswa kukumbusha siku ya leo  ni kwamba pamoja na changamoto zote zinazojitokeza kwenye mambo mbalimbali tunakumbushwa ya kwamba tunapaswa kuwa wavumilivu kwani mvumilivu ndiye ambaye atakula mbivu, au kwa maneno mengine anayevulia ndiye atakayefanikiwa zaidi.

Kama unapenda kujiunga na kundi la mafanikio ili uweze kujifunza zaidi mambo mengi ya kimafanikio. Tuma neno THE UNIVERSITY OF WINNER'S kwenda 0687449428 na utapewa utaratibu wa kuunganishwa.

Ndimi, Afisa Mipango Benson Chonya

0757909942

 

No comments :

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.