google-site-verification: googleabbfd1327a3af7a3.html

Badili maisha yako sasa kwa kuwa na fikra sahihi.

Kujifunza zaidi juu ya maisha na mafanikio, nakualika kwenye kundi la whats app kujifunza kwa kina. Tututumie ujumbe kwa njia ya whats app kwenda 0687449428 kupata utaratibu wa kujiunga.

Sep 5, 2017

Sababu Tisa (9) Za Kiafya Kwanini Unatakiwa Kutumia Zabibu Kila Wakati.

No comments :

Kwa mujibu wa tafiti za kiafya zinaonyesha, ipo faida kubwa sana kwa mtu yeyote anayetumia zabibu katika upande wa afya yake. Inaonyesha moja kwa moja, zabibu kutokana na wingi wa madini zilizonayo ndani yake, zina uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali kama zikitumiwa kwa uhakika. katika makala haya tumekuwekea dondoo za kukusaidia kukuonyesha baadhi ya magonjwa yanaweza kutibiwa au kuepukwa hasa kutokana na matumizi ya zabibu.

1. Zabibu inatibu pumu (Asthma)
2. Zabibu ina imarisha mifupa.
3. Zabibu inazuia magonjwa mengi ya moyo.
4. Zabibu inapunguza unene kwa sehemu.
5. Zabibu inapunguza kisukari.
6. Zabibu ni kinga ya magonjwa ya meno.
7. Zabibu ni kinga kwa kansa ya matiti.
8. Zabibu inapunguza ugonjwa wa mapafu.
9. Zabibu inapunguza tatizo la kushindwa kuona mbali.
Ni wako rafiki katika mafanikio,
Imani Ngwangwalu,
Mshauri wa mafanikio, mwandishi na mjasiriamali,
Mawasiliano; +255 767 048 035, +255 713 048 035,

No comments :

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.